Wanyama Wenye Uti wa Mgongo ni kitabu kilichojaa maarifa na Ujuzi kuhusu makundi ya wanyama wajulikanao kama mamalia, reptilia, amfibia, samaki na ndege.
Wanajulikana kwa:
-Kuwa na vichwa
-Kuwa na milango ya fahamu na Ubongo
- Kuwa na uti wa Mgongo
-Kuwa na mfumo wa Mifupa
-Kuwa na Mzunguko wa damu
-Kuwa na jinsi